Baadhi
ya waombolezaji walioshiriki katika ibada ya kumwombea aliyekuwa
Mshauri Mkuu wa Masuala ya Sheria wa Bunge, maerehemu Oscar Mtenda
iliyofanyika nyumbani kwake mjini Dodoma Januari 26, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Mshauri
Mkuu wa Masuala ya Sheria wa Bunge, marehemu Oscar Mtenda nyumbani kwa
marehemu mjini Dodoma Januari 26, 2016.
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akiwapa pole wafiwa baada ya kutoa heshima za
mwisho kwa aliyekuwa Mshauri Mkuu wa Masuala ya Sheria wa Bunge,
marehemu Oscar Mtenda nyumbani kwa marehemu mjini Dodoma Januari 26,
2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment