Saturday, April 30, 2016

Diwani wa kata ya Kahe ,Rodrick Mmanyi akizungumza baada ya Mkurugenzi wa Idara ya Maafa nchini,Brigedia Jenerali ,Mbazi Msuya kutembelea kata hiyo kutizama athari zilizotokana na mafuriko.
Baadhi ya wakazi wa kata ya Kahe wakiwa katika kikao na ujumbe wa Mbunge wa jimbo la Vunjo uliofika katika kata hiyo kwa ajili ya kutoa msaada wa chakula.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya  Moshi,Michael Kilawila akizungumza na kutoa pole kwa wakazi wa kata ya Kahe waliofikwa na maafa yaliyotokana na mafuriko.
Mkurugenzi wa Idara ya Maafa nchini,Brigedia Jenerali ,Mbazi Msuya akizungumza na wakazi wa kata ya Kahe baada kutembelea maeneo mbalimbali yaliyoathirika na mafuriko.
Mbunge wa jimbo la Vunjo,James Mbatia akizungumza katika kikao hicho kilicho fanyika ofisi ya kata ya Kahe ,kulia kwake ni Mkurugenzi wa Idara ya Maafa nchini ,Brigedia Jenerali,Mbazi Msuya,kushoto ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Moshi,Michael Kilawila.

Thursday, April 28, 2016

MAGAZETI YA LEO ALHAMISI

20160428_044223

20160428_044253
20160428_044703

20160428_044714
20160428_044526

20160428_044535
20160428_044644

20160428_044652

20160428_044722

20160428_044732

20160428_044455

20160428_044503



20160428_044545

20160428_044554

20160428_044604

20160428_044614

20160428_044624

20160428_044634



20160428_044747
20160428_044757
20160428_044320

20160428_044332

20160428_044340

20160428_044354

20160428_044404

20160428_044415

20160428_044425

20160428_044435

20160428_044443

WANUSURIKA KIFO BAADA YA BASI KUACHA NJIA NA KUPINDUKA


 
Abiria wapatao 40 wamenusurika kifo kufuatia busi walilokuwa wakisafiria kutoka wilayani Bariadi mkoani Simiyu kwenda Ushirombo mkoani Shinyanga kuacha njia na kupinduka. 

Ajali hiyo imetokea majira ya saa 12 alfajili katika kijiji cha Kidurya nje kidogo ya mji wa Bariadi ambapo bus hilo mali ya kampuni ya Luqman aina ya Scania lenye namba za usajili T302 AUU, lilipoacha njia na kupinduka. 
Kamanda wa polisi wa mkoa wa Simiyu ,Onesmo Lyanga amethibitsha kutokea kwa ajali hiyo. 
Kwa upande wake kaimu mganga mkuu wa hospitali ya mji wa Bariadi, Dr.Saidi Mlowasha amesema amepokea majeruhi watatu ambao wamefikishwa hospitalini hapo na kutibiwa.

Wednesday, April 27, 2016

MKUU WA WILAYA YA MOSHI ,NOVATUS MAKUNGA AJIONEA ATHARI YA MAFURIKO


Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga akizungumza jambo na wataalamu alioongozana nao katika uwanja mdogo wa ndege wa Moshi kwa ajili ya kuruka na ndege ndo ya Shirika la Hifadhi za taifa (TANAPA) kwa ajili ya kujionea hali ya mafuriko.
Mioundo mbinu ya barabara pia imeathirika vibaya.
Mkuu wa wilaya akiwa katika uwanja wa ndege wa Moshi kwa ajili ya maandalizi ya kwenda kujionea hali ya mafuriko katika maeneo mbalimbali.

MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO SAID MECKY SADICK AFANYA KIKAO NA WATUMISHI WILAYA YA HAI.

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Said Mecky Sadicky akizungumza na watumishi,wakuu wa idara za Halmashauri na Wenyeviti wa vijiji na vitongoji katika wilaya ya Hai wakati wa kikao cha utamburisho kilichoafnyika katika ukumbi wa KKKT Bomang’ombe.
Baadhi ya viongozi wa Taasisi mbalimbali katika wilaya ya Hai wakiwa katika kikao hicho.
Mkuu wa Wilaya ya Hai ,Gelasius Byakanwa akizungumza katika kikao hicho.
Baadhi ya watumishi na viongozi mbalimbali wa Dini wakiwa katika kikao hicho.
Mkurugenzi wa Halmshauri ya wilaya ya Hai,Said Mderu akijibu hoja mbalimbali zilizoibuliwa katika kikao hicho.
Baadhi ya Wenyeviti wa vitobgoji na vijiji,

BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU YAPITISHWA NA BUNGE MJINI DODOMA

w2Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihitimisha  hoja  ya makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa fedha 2016/2017 bungeni mjini Dodoma Aprili 27, 2016. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)w1Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu  Sera, Bunge ,Ajira na Watu Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama  akijibu baadhi ya hoja za  kuhitimisha makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa fedha 2016/2017 bungeni mjini Dodoma Aprili 27, 2016. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu  Sera, Bunge ,Ajira na Watu Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama  akijibu baadhi ya hoja za  kuhitimisha makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa fedha 2016/2017 bungeni mjini Dodoma Aprili 27, 2016. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
w3
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akipongezwa na wabungeu)baada ya  bunge kukubali kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2016/2017 bungeni mjini Dodoma Aprili 27,2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akipongezwa na wabungeu)baada ya  bunge kukubali kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2016/2017 bungeni mjini Dodoma Aprili 27,2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
w4Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu  Sera, Bunge, Ajira na Watu Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akipongezwa na Mbunge wa Ilemela na Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Angella mabula (kulia) na Mbunge wa Buchosa, Dkt. Charles Tizeba   baada ya  bunge kukubali kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2016/2017 bungeni mjini Dodoma Aprili 27,2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
w7Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na  Makatibu Wakuu wa Ofisi yake baada ya  bunge kukubali kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2016/2017 bungeni mjini Dodoma Aprili 27,2016. Kutoka kushoto ni Erick Shitindi, Dkt. Hamis Mwinyimvua na Uledi Mussa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
w8Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira na Watu Wenye Ulemavu,Jenista Mhagama   baada ya  bunge kukubali kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2016/2017 bungeni mjini Dodoma Aprili 27,2016. Wengine pichani ni Makatibu Wakuu wa ofisi ya Waziri Mkuu, Erick Shitinidi ( kushoto) na Dkt. Hamis Mwinyimvua (watatu kushoto)) na Dkt (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
w9Waziri Mkuu,  Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira na Watu Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (kulia)  baada ya  bunge kukubali kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2016/2017 bungeni mjini Dodoma Aprili 27,2016.  Wengine ni Makatibu Wakuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt. Hamis Mwinyimvua (kushoto) na  na wapili kushoto ni  Uledi Mussa.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
w10Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wafanyakazi na Watendaji wa Ofisi ya Waziri Mkuu, baada ya  bunge kukubali kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2016/2017 bungeni mjini Dodoma Aprili 27,2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
w11 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na Watendaji wakuu wa mifuko ya Jamii baada ya  bunge kukubali kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2016/2017 bungeni mjini Dodoma Aprili 27,2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na Watendaji wakuu wa mifuko ya Jamii baada ya  bunge kukubali kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2016/2017 bungeni mjini Dodoma Aprili 27,2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
w12Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na Wafanyakazi na Watendaji wa Ofisi ya Waziri Mkuu, baada ya  bunge kukubali kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2016/2017 bungeni mjini Dodoma Aprili 27,2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
w13Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Waziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu  na Watndaji wa Ofisi na Taasisi zilizochini ya Wizara yake  baada ya  bunge kukubali kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka wa Fedha 2016/2017 bungeni mjini Dodoma Aprili 27,2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)